Jux
Sio Mbaya
Duration: 03:33
File type: mp3
File size: 8.12 МБ
Bitrate: 320
Lyrics of "Jux — Sio Mbaya"
Kwa nini ukiniona
Unakosa furaha
Si acha kuna kuna
Kwa nini ujipe karaha mama Mi najua unachotaka wee
Unachowazaga
Ata mimi napitiaga
Ila tunajikaza eeh Na siwezi kumaliza verse
Bila kusifia your pretty face
Machoni mwako naona loneliness
Loneliness Na siwezi kumaliza verse
Bila kusifia your pretty face
Machoni mwako kuna loneliness
Loneliness Najua kuna vingi we husemi
Kwangu mimi sio mbaya
Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya
Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya nieleze Endapo utanimiss just call me
Kwangu mimi sio mbaya
Nipigie, kwangu mimi sio mbaya
Mama nipigie, kwako mimi sio mbaya nieleze Nieleze, nieleze
Oooh no no no no Kuna mazuri mengi umefanya
Sikutangaza ubaya aaah
Kuna mazuri mengi nimefanya
Sitokusemea ubaya aah Please let me know oh oh oh
Nijue walisoma igizo, maigizo
Let me know oh oh oh
Labda we mimi sina tatizo, tatizo Siwezi kumaliza verse
Bila kusifia your pretty face
Machoni mwako naona loneliness
Loneliness Siwezi kumaliza verse
Bila kusifia your pretty face
Naona loneliness
Loneliness Najua kuna mengi we husemi
Kwangu mimi sio mbaya
Ah sio mbaya, kwangu mimi sio mbaya
Kwangu mimi sio mbaya naomba nieleze Ukininimiss just call me
Kwangu mimi sio mbaya
Mama mama ma, kwangu mimi sio mbaya
Nasema, kwangu mimi sio mbaya nieleze Moyo wako unataka taka
Mdomo wako nakataza taza
Naamua kunyamaza maza
Bora useme unachowaza waza Unajua mama
Kwangu mimi sio mbaya
Kwangu mimi sio mbaya
Kwangu mimi sio mbaya nieleze Ukininimiss just call me
Kwangu mimi sio mbaya
Kwangu mimi sio mbaya
Kwangu mimi sio mbaya nieleze