Jux
Bado Yupo
Duration: 02:55
File type: mp3
File size: 6.68 МБ
Bitrate: 320
Lyrics of "Jux — Bado Yupo"
Mo-ko
Hello (eeh) habari gani?
Hello oh ooh, unaitwa nani?
Hello, uko kizani?
Hello, una tatizo gani? Basi we nieleze
Walipokaza nilegeze
You're so beautiful baby
Hauendani na mawazo mama (aah) Huwezi kushindana na moyo wako
Usijiumize aah, uh
Mimi sio mbaya wako
Nisikilize, ah oh Bado yupo yupo kwanza (mmh)
Bado yupo yupo sana (eeh eh)
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana Kushindana na moyo wake
Bado yupo yupo kwanza (no, no)
Bado yupo yupo sana (eh, yeah)
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana Anataka awe peke yake
Bado, ah ah nah nah
Hana ulinzi wa moyo tena (aah)
Wake uaminifu umekufa mazima (aah) Mapenzi yamefanya asile
Mapenzi yamefanya asilale
Chochote nachomwambia bure
Anaona nampigia kelele Ila ati anashukuru Mungu
Alipofika panatosha aah
Hata na mzigo mzito wa mapenzi
Ameutua amepumzika Yaani hataki tena
Bado mapema
Hataki tena
Vurugu za mapenzi zimemchosha Huwezi kushindana na moyo wako
Usijiumize aah, uh
Mimi sio mbaya wako
Nisikilize (eh ooh) Bado yupo yupo kwanza (mmh)
Bado yupo yupo sana (eeh)
Bado yupo yupo kwanza (eeh)
Bado yupo yupo sana
Bado kushindana na moyo wake Bado yupo yupo sana
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana
Anataka awe peke yake
Peke yake, peke yake, peke yake, peke yake eeh