Jux
Kibindoni
Duration: 03:17
File type: mp3
File size: 7.52 МБ
Bitrate: 320
Lyrics of "Jux — Kibindoni"
Kwenye love niko fofofo
Umenidatisha wewe mtoto
Napiga mbizi maji ya ugoko
Baridi unanipa joto Oooh baby don't let me go, don't let me go
Aiii najua dhamani yako
Just let me know, just let me know
Mimi sitaki ubaki peke yako mama Aaah aah aah...
Sitaki wewe kuumia
Aaah aah aah...
Ado ado mama ado ado Aaah aah aah...
Sitaki wewe kuumia
Aaah aah aah...
Eeeh Kasura kako kanaumiza roho
Mama mama mama
I've never seen before
Mama mama mama Kasura kako kanaumiza roho
Mama mama mama
I've never seen before
Mama mama mama Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni Yaani kama taa mama
Wewe umenizimaga
Ila, na watu wanashangaa
Kitu gani mi nakupaga Na mizigo yote nimeshaitua
Nimefika mwisho wa reli Kigoma
Uzuri wako wote wanajua
Mtoto umenyooka kinoma Aaah aah aah...
Haa wabishe wakatai
Aaah aah aah...
Hayani mi nyanya nyanya Aaah aah aah...
Sijiwezi mama sijiwezi
Aaah aah aah... Kasura kako kanaumiza roho
Mama mama mama
I've never seen before
Mama mama mama Kasura kako kanaumiza roho
Mama mama mama
I've never seen before
Mama mama mama Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni